TUNI C , amedondosha rasmi ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “BORA ”, ikiwa ni wimbo wa kwanza kwenye EP yake mpya yenye nyimbo 4,
“BORA” Ni nyimbo Ambayo inatuletea simulizi Nzima la mapenzi, Ikiwa inaelezea chanzo , faraja, na mkasa mzima kwenye Aya Maisha
Download | Tuni C – Bora [Mp3 Audio]