
Staa Wa Muziki Wa #Singeli Nchini Tanzania #K_Zungu Ameachia #EP yake Mpya #KUNAWAKATI EP
Nani #EP Ambayo Imeeleza Mambo Mengi Haswa Ya Ndani Kwa Maisha Yaliyopo Na Kutokana Vile Watu Namna Wanavyopitia Kwa Mambo Kadhaa
Sasa Tunaenda Kuandika History Kubwa Na Kuisimamisha Mitaa Kwa Ujumla Kwa Kuachia #EP Kariii #Hit Ambayo Itakayoenda Kufanya Vizuri Na Mitaaa Kwa Ujumla
Sasa Kaa Tayari Kwa Kuupokea Mziki Mzuri Na Kwenda Kuusikiliza Na Kuufurahia Zaidi
Tracklist
- K Zungu – Kuna Wakati | Download
- K Zungu – Kabuli | Download
- K Zungu – Vichwa | Download
- K Zungu – Masononeko | Download
- K Zungu – Akili Akili | Download
- K Zungu – Zuu | Download

