
Msanii Wa Muziki Wa Singeli #Dogo Paten Arudi Tena Mjini Na Wimbo Wake Mpya “Nishike Mkono”
Na “Nishike Mkono” Ni Wimbo Ambao Wenye Ujumbe Mzito Wa Kuomba Msaada, Faraja Na Nguvu Wakati Wa Changamoto.
Na Ni Nyimbo Ambayo Inatia Moyo, Ikielezea Safari Ya Maisha, Maombi Na Matumaini Ya Kupata Msaada Kutoka Kwa Mungu Na Wale Tunaowazunguka.
Na Wimbo Huuu Ikiwa Na Sauti Ya Kipekee Sana Na Melody Za Kitofauti Tofauti Laini Na Ikiwagusa Wasikilizaji Kwa Namna Ya Pekee Kupitia Mashairi Ya Kugusa Mioyo Na Kuhamasisha Zaid


